We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.Arsenal.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.Arsenal.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ungejuwa mpira si tungekuona saa hizi umeshanunuliwa. Punguàni wahed.We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.
Nitaambatana na wwNitatembea uchi humu jf wote mnione.
Ha ha ha ha ha.Nitaambatana na ww
Nikupe nini???sio vizuri,nipe mimi ntakuja wahadithia
huo uchi unaotaka kuutembezaNikupe nini???
Kwani nimesema nataka kuugawa??huo uchi unaotaka kuutembeza
Ni shule zilizojengwa na ccm ndio zinaleta shida zote hizi!! yaani badala mboreshe elimu mnaenda kununua mapangaboi na bahati mbaya yameshikiliwa!! mtaturudishia ela zetu hatutaki upuuzi!!Arsenal.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Si jenga yako ulikatazwa?Ni shule zilizojengwa na ccm ndio zinaleta shida zote hizi!! yaani badala mboreshe elimu mnaenda kununua mapangaboi na bahati mbaya yameshikiliwa!! mtaturudishia ela zetu hatutaki upuuzi!!
Kumbe unajua eeh!!Si jenga yako ulikatazwa?
Kumbe unajua eeh!!
Sasa usiwalaumu watanzania na kuwaambia walienda kusomea ujinga shule wakati unajua kabisa chanzo cha ujinga ni liccm lako!!!
Una maana ccm ndio walikutafutia mume??Sema ccm haikukutafutia na mume, lilia na hilo.
.