Mbona siyo jukwaa la CCM. Huu uzi umefunguliwa kwa ajili ya utabiri....ccm inatoka wapi sasaOf course najuwa kuwa serikali ya CCM imekupa uhuru wa kujenga shule upendayo na kusoma upendapo.
Kwa hiyo futa huo ujinga wako wa kila kitu kuisingizia ccm.
Sema ccm haikukutafutia na mume, lilia na hilo.
Punguani wahed.
Moja ya ahadi hewa ni pamoja na hii.Nitatembea uchi humu jf wote mnione.
huugawi,unanipa mie kuliko kuunadi..utendee haki bna uchi wako mzuri na wenye thamani kama maseratiKwani nimesema nataka kuugawa??
Punguza ukali wa maandishi yako nduguMlishinda mechi ya kwanza kimazabe mazabe dhidi ya Leicester city,safari hii sio hadi December by October tuu Mtakua mnatembea na mabango ya Wenger OUT
Hahaha mkuu mbona hayana ukali wowote hapoPunguza ukali wa maandishi yako ndugu