Natabiri Msimu huu Arsenal Bingwa EPL...

Natabiri Msimu huu Arsenal Bingwa EPL...

Of course najuwa kuwa serikali ya CCM imekupa uhuru wa kujenga shule upendayo na kusoma upendapo.

Kwa hiyo futa huo ujinga wako wa kila kitu kuisingizia ccm.

Sema ccm haikukutafutia na mume, lilia na hilo.

Punguani wahed.
Mbona siyo jukwaa la CCM. Huu uzi umefunguliwa kwa ajili ya utabiri....ccm inatoka wapi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlishinda mechi ya kwanza kimazabe mazabe dhidi ya Leicester city,safari hii sio hadi December by October tuu Mtakua mnatembea na mabango ya Wenger OUT
 
wa2 mnawachukulia ktoto vjana wa antonio konte, mcm huu kwa mara ya pili wanabeba, konte anakuja na stail ya GENATANCIO
 
Back
Top Bottom