Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
InawezekanaNatabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Hapana, kukosekana kwa mihela ya kuhonga ya Manji...
Yanga akimaliza wa 4 Simba atamaliza wa 5Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Ngoja uone.Yanga akimaliza wa 4 Simba atamaliza wa 5
zipi?
Ubongo umejaa mafilifiliHapana, kukosekana kwa mihela ya kuhonga ya Manji...
Ahsante mrithi wa sheikh Yahaya HusseinNatabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Mimi ni Yanga damu mkuu.Hamchelewagi kung'oa viti
Mimi ni Yanga damu mkuu.