Natabiri rasmi Yanga watamaliza ligi kuu wakiwa nafasi ya nne.

Natabiri rasmi Yanga watamaliza ligi kuu wakiwa nafasi ya nne.

Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Yanga siyo thimba, tutamaliza tukiwa 1 kama siku zote, hutaamini macho yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom