Maandamano fc ni wa kusamehe tatizo ni umbumbumbu waoBaada ya kuvimbiwa kande unaanza kuandika chochote...Pasi hata kutoa maelezo ya kitaalamu...
Ai kotoni ende mai kondisheni...
ππππUkiona yanga imeshika nafasi ya 4 ujue simba imeshuka daraja...
Yanga siyo thimba, tutamaliza tukiwa 1 kama siku zote, hutaamini macho yakoNatabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi ya kushiriki michuano yoyote ile ya kimataifa.
Yanga damu mkuu ila nachukizwa na muenendo wa timu.Utakuwa simba wewe, si bure!!
Hebu geuza juu chini1. Simba
2. Azam
3. Yanga
4. Kagera
5. Singida
6. ............
Msimu utaisha hivi!!