njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo
wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo mikubwa na confusion ya hatari
wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo mikubwa na confusion ya hatari