Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free kicks....ni matumaini yangu bench la ufundi wameliona hilo
Tegemea kwenye mechi ya kesho JEAN CHARLES AHOUA, MUKWALA NA KIBU D....Mmoja wapo akatupia na simba kupata goli la ugenini (away goal )
Ahoua kwenye free kicks, mukwala na kibu kwenye mipira ya vichwa, pia kwa mbali ngoma kama atapanda juu (kimkakati )
NB:Kuhusu nani atashinda sijasema,, mimi nimetabiri simba atapata away goal thats all!!!