Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
naomba mafans wa simba msinichukie na wala msinitukane!
mkitaka muwin game dhidi ya club tajiri kuwahi kutokea katka nchi yetu(AZAM FC) basi nashauri yule jamaa mkosa magoli hovyo[Mavugo]asicheze!
NGOJA TUSUBIRI,JMOSI SI MBALI!
Azam fc no#1 fan.
mkitaka muwin game dhidi ya club tajiri kuwahi kutokea katka nchi yetu(AZAM FC) basi nashauri yule jamaa mkosa magoli hovyo[Mavugo]asicheze!
NGOJA TUSUBIRI,JMOSI SI MBALI!
Azam fc no#1 fan.