jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
- Thread starter
-
- #61
Ww mtabiri wa wp!!!?Thread closed!!!
Mkeka umechanika mkuuWw mtabiri wa wp!!!?
mtabiri wa Nkasi.
Bingwa spainBingwa atakuwa kati ya timu hizi;
France,
Englang,
Belgium,
Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
View attachment 1812664
Mpira ungekuwa unatabilika hivyo, wabetiji tunekuwa mabilioneaUbingwa wa Konyo [emoji1787]
Italy 👍Unpopular opinion, Italy wanashinda Euro. I rest my case!
Mkeka umechanikaTimu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
View attachment 1812664
Mbappe hajajua kilichotokea mpaka sasa! Haamini macho yake!! Anajiuliza imekuwaje amecheza mechi 5 bila kufunga goli lolote? Mbaya zaidi ndiye aliyekata tiketi ya kurudi nyumbani kwa kukosa penati iliyokuwa imeshika hatima ya ufaransa!! Hapo ndipo nyota wa soka huwa wanatoa saluti kwa CR7!! Yeye anawezawezaje kuziona nyavu? Mechi 4 goli 5! NKwani Mmbappe anasemaje?
Kama inakujaa ivii...1 Denmark
2 Italy
3 Belgium
4 Chek republic
5 Germany
One of them anaondoka na ndoo mazee.. Denmark or Italy nawapa nafasi kubwa