NATABIRI: Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

NATABIRI: Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

Team nikionaga zinashobokewa na wachambuzi wa bongo naona hàkuna kitu Ureno,France
 
Kwani Mmbappe anasemaje?
Mbappe hajajua kilichotokea mpaka sasa! Haamini macho yake!! Anajiuliza imekuwaje amecheza mechi 5 bila kufunga goli lolote? Mbaya zaidi ndiye aliyekata tiketi ya kurudi nyumbani kwa kukosa penati iliyokuwa imeshika hatima ya ufaransa!! Hapo ndipo nyota wa soka huwa wanatoa saluti kwa CR7!! Yeye anawezawezaje kuziona nyavu? Mechi 4 goli 5! N
 
Back
Top Bottom