Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwani walikuwa hawajui kuwa wanaua.😄😄😄
Wanyongaji kule Magereza wakishanyonga huenda mahakamani na kukiri Wameuwa bila Kukusudia
Unaelewa maana yake?!! 😃
Muheshimiw ana kinga, Profesa hana kinga.Kinga yuko nayo
Pale inaonesha Muheshimiwa ametoa Idhini, kibali cha Yeye kusaini. Hivyo sio kosa lake hapo.
Karibu tutaongea lugha moja,kinga tasiri yake nini, nipale mwenyekinga anapofanya maamuzi kwa maslahi ya Taifa kwa dhamana aliyopewa bilakuwepo viashiria vya bakshish,zawadi au aksante yoyote kwanamna yoyote ile ,vinginevyo aminajisi hiyo kinga na anastahili kushitakiwa kama nakosea naomba nielimishwe zaidi na wabobezi wa sheriaKinga yuko nayo
Pale inaonesha Muheshimiwa ametoa Idhini, kibali cha Yeye kusaini. Hivyo sio kosa lake hapo.
Wanajua lakini si wao Wanaokusudia kuuwa!Kwani walikuwa hawajui kuwa wanaua.
MkuuHili swala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu.
Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi.
Prof Mbarawa hana kinga.
Natabiri tu.
Tawile...tawile.... mtaalam!Hili swala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu.
Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi.
Prof Mbarawa hana kinga.
Natabiri tu.
Fatilia principle iliyokuwa established through Nurambeg Trial. (Kesi za Hitler)You hv the right to disobey unlawful orders. You can choose to obey at your own riskKinga yuko nayo
Pale inaonesha Muheshimiwa ametoa Idhini, kibali cha Yeye kusaini. Hivyo sio kosa lake hapo.
Na iwe hivyo tuHili suala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu.
Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof. Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi. Prof Mbarawa hana kinga.
Natabiri tu.
Ni matter of debate, lakini suala la DP World halijakaa vizuri hata kidogo.Mkuu
Sio Mbarawa pekee,hata Hangaya mwenyewe ataondolewa kinga na kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza tangu uhuru. Viongozi wandamizi wa chama chake watapandishwa pia kilingine kujibu makosa ya uhujumu uchumi, kutakatisha fedha, kumiliki magenge ya kihuni yanayopora rasilimali za nchi na kunyanyasa wananchi kuwapora ardhi kwa kigezo cha uwekezaji hewa pamoja na uhaini.
Kwa kutii sheria 😁😁Kwani walikuwa hawajui kuwa wanaua.