Elections 2010 Natabiri-Uchaguzi Igunga hautakuwepo Jumapili

Elections 2010 Natabiri-Uchaguzi Igunga hautakuwepo Jumapili

Kila kukicha stinkers and not thinkers wanaongezeka hapa.Wacha tuone idadi itakuwaje baada ya Uchaguzi Igunga
 
Jamani sheik alikua peke yake afrika mashariki na kati, huyu katokea wapi!!!!! au ndio balali style?
 
ha ha haaa. basi Nimekubal JF Siasa..siasa kwelikweli.. jamaa wanacomment hadi utabiri.. do.. aisee
anyway masaa yalobakia ni 76 mpaka sasa.. tusubiri tuone....
 
Uchaguzi utakuwepo kwa maana hali ya serikali siyo nzuri kiasi cha kuruhusu kuchezea rsailimali kienyeji namna hiyo! Uchaguzi utafanyika ila utataliwa na vituko vingi sana ambavyo vitaandika historia mpya katika uchaguzi, uchaguzi huu ni zaidi ya simba na yanga.

Mzee wa rula serikali ya magamba ingetumia robo tu ya akili yako kuwahurumia wananchi leo tungekuwa kama singapore
 
Hilo kwa ccm na hali alisi ilivyo igunga naamini linawezekana nadhani mtazamo wangu ni tofauti na wenzangu sababu naijua ccm ilivyo nakasumba, msimdhihaki mtoa hoja kwani ni haki yake kuongea anachokiamini mpingeni kwa hoja na sio dhihaka
 
Mimi nakubaliana naye, maana uchaguzi utavurundwa na kutangazwa mshindi ambaye hakuchaguliwa, hapo kuna uchaguzi????
 
Namwombea msamaha salma2015.
Hatarudia kutabiri atakuwa anapost analojua tu.
 
mwenzako sheikh wa waislamu alitabiri kuwa mgombea urai atakufa..........mwishowe mgombe hakufa ila akafa yeye kwani Mungu si mwanadamu hata umpangie kuhusu maisha yake na bible iko wazi kabisa kwa kusema...HAKUNA AJUAYE SIKU YAKE YA KUFA KM ILIVYO KWA SIKU YA MWISHO WA DUNIA?............angalia na wewe usije k\ukatabiri halafu ikala kwako kivingine
 
Kumbe wengi mlikuwa mnaombea Sheikh Yahya afe ili mrithi utabiri, tutabirie ccm inakufa saa ngapi ili tuandae kaburi baharini maana wenye ardhi wamekataa kutoa ardhi yao kwa ajili ya mazishi
 
Natabiri Uchaguzi Igunga kufanyika Jumapili ya tarehe 02 mwezi wa 10 mwaka 2011!
 
Back
Top Bottom