Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation

Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak kusikia hoja za serekali

Rai na taahadhari uwe makini sna matumiz yako

Tunako elekea ni hatari zaid
 
Mtaachwa nyuma na hiyo kasi yenu ya 4g, sasa dunia inaenda na kasi ya 5g.

#FreeTunduLissu.
 
Hali mtaani siyo nzuri hata kidogo. Mfumuko wa bei uko juu, na hakuna anayejali. Rais tumemchagua kwa 97.6% ya kura zote! lakini hata ziara tu ya kuzunguka nchi nzima kutushukuru na kusikiliza kero zetu, hafanyi.
 
Back
Top Bottom