britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Vijana bwana mna mambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaliyopita si ndwele. Tugange yajayo.Kila nikitazama uchu wa mwingereza kuchukua kombe hili, na kikosi alichonacho, aiseee! It's coming home.
Wafaransa wanapendwa kwa rangi yao tu na kidogo vijina vya wavulana wao wanaorukaruka uwanjani wale.
Ila isipojiangalia leo Ufaransa inaenda kupata aibu ya Karne.
Wekea lamination Uzi huu kwa rejea ya baadae