Natabiri wiki ijayo waasi wataiteka Addis Ababa

Natabiri wiki ijayo waasi wataiteka Addis Ababa

China mjanja na hawezi kuingilia hii vita maana anajua pesa yake atalipwa bila kujali nani mshindi, model ya China ni mikopo tuu mengine hayawahusu, US model yake ni kumiliki na total control kama vile visima vya mafuta Kuwait ndio maana ilibidi waingilie wamtandike Saddam, Ethiopia inabidi wakae chini waongee yaishe la sivyo watapigana for the next 30 years
 
Shida ni kwamba, hata kama waasi watashindwa bado vita haijaisha kwa kuwa madai yao hayajatekelezwa. Vema kukaa meza moja, vinginevyo kutakuwa na political unrest for the rest of years until solved
Wakipata kichapo cha maana watajua tu siku wakianza tena fyokofyoko yatawakuta
Kesho asubuhi,alfajiri,6 o'clock, December 7,Moscow time,ambayo pia ni Dar Es Salaam time,Putin ataongea na Joe Biden.
Unconquered Ethiopia reigns
 
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.

Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini .

Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi,tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.

Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.

Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq,wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.

Remember? Rubani Gunther Russbacher alikuwa jela wakati ule,wamkamtoa jela,aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako,you are the only Onen who can help us in this .

Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni,Wachina wanafanya hivyo hivyo.
Ethiopian Airlines wahamishie hub yao Tanzania
 
Waasi ni vibaraka wa Joe Biden. Hawawezi kufanya kitu mpaka Joe Biden afanye uamuzi. Na sasa hivi,at this very omeny,Joel Biden ana chat na Putin.
Sasa,it bothers me,kwamba hawa foreigners wanapigiana simu,kuamua what should be done to Africa. Lakini ndiyo reality ya Dunia hii .
Wanafuata mini Africa. Haya diyo mambi yanapangwa in five minutes. Haya ni mambo wamepanga toka zamani. What ia the atim og these people? Utajiri wa Africa? Sisi hatujaona utajiri wowote hapa. Tunaishi maisha ya kimaskini. Wao wameona mini ambacho sisi hatujaona?
 
Waasi wamekimbilia tigrai ili kuulinda mji huo baada ya kuona huko kwengine wameshindwa pongezi ziende kwa iran china uturuki na dubai
Yaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.

Hawa wangepigana na Egypt wangetandikwa Kama watoto wadogo.
 
Yaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.

Hawa wangepigana na Egypt wangetandikwa Kama watoto wadogo.
Egypt mchumba tu.......Ethiopia hawana historia ya kuburuzwa kama hao wamisri
 
Marekani hua haendi sehemu kama hawezi kuvuna faida zaidi! Hawezi tumia mia tano,halafu akapata mia mbili! Je Ethiopia kuna nini hadi Marekani awekeze nguvu zake??

Putin pia hawezi mzuia Marekani kufanya mambo yake,kama ana interest kwenye eneo tajwa hapo sawa! Je Putin ana nini Ethiopia hadi awazuie Marekani kufanya kitu?? Hebu rejea ya Libya na Syria
Hawezi ??? Mbona alimzuia Syria?? Unadhani Syria iliishaje bila msaada wa Urusi??
 
Ethiopia ni Misri Yuko Nyuma ya hii kitu iko wazi wala hamna kingine...Lile bwawa ndio shida na kama sio Wananchi kumuunga mkono Abbiy angeshalamba udongo chini...Najiuliza Hivi hawa Hawana jata Air Defense System...Mana Kama Mnaweza Kuwa na Ndege mnapiga kutokea Juu na Kusonga Ardhini (Infantry ).
 
AU hovyo. Hata mkwara wa maneno tu hakuna. Aibu sana. Hata kusema tuwaombee ndugu zetu hakuna!!!!
 
Yaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.

Hawa wangepigana na Egypt wangetandikwa Kama watoto wadogo.
Kwan kwa akili Misri serikali imepinduliwa mara ngapi na waasi ? rudi shule uijue historia , kuna tofaut kati ya vita ya taifa na taifa na vita vya serikali na waasi maaana waasi huwezi wajua wanaeza kuwa baina yenu kwenye mipango pia so war against traitors is another tough game
 
mmarekani anamaslahi gani na Ethiopia hata aivamie kijeshi
 
Ethiopia ni Misri Yuko Nyuma ya hii kitu iko wazi wala hamna kingine...Lile bwawa ndio shida na kama sio Wananchi kumuunga mkono Abbiy angeshalamba udongo chini...Najiuliza Hivi hawa Hawana jata Air Defense System...Mana Kama Mnaweza Kuwa na Ndege mnapiga kutokea Juu na Kusonga Ardhini (Infantry ).
Bwawa limenfanya Nini wkt hata kujengwa lilijengwa na haohao watigray?
 
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.

Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini .

Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi,tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.

Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.

Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq,wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.

Remember? Rubani Gunther Russbacher alikuwa jela wakati ule,wamkamtoa jela,aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako,you are the only Onen who can help us in this .

Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni,Wachina wanafanya hivyo hivyo.
Hiyo wiki ijayo vp haijafika tu
 
Back
Top Bottom