Wakipata kichapo cha maana watajua tu siku wakianza tena fyokofyoko yatawakutaShida ni kwamba, hata kama waasi watashindwa bado vita haijaisha kwa kuwa madai yao hayajatekelezwa. Vema kukaa meza moja, vinginevyo kutakuwa na political unrest for the rest of years until solved
Unconquered Ethiopia reignsKesho asubuhi,alfajiri,6 o'clock, December 7,Moscow time,ambayo pia ni Dar Es Salaam time,Putin ataongea na Joe Biden.
Ethiopian Airlines wahamishie hub yao TanzaniaAbiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.
Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za mizigo naaman tame ishirini au thelathini .
Kesho,Biden anaongea na Putin. Putin ataambiwa,"Tunakusihi,tukiishambulia Ethiopia, usiingilie kati.' Halafu,basi. The way will be open for the invasion.
Hawa watu wanataka kurudi madarakani Ethiopia. Waliondolewa 2018.
Hii ndiyo modus operandi katika hizi vita. Wakati ule Marekani walikuwa wanataka kuishambulia Iraq,wakapeleka watu Moscow kuongea na Putin.
Remember? Rubani Gunther Russbacher alikuwa jela wakati ule,wamkamtoa jela,aendeshe ndege awapeleke Moscow, kwa sababu "wewe Putin ni rafiki yako,you are the only Onen who can help us in this .
Lakini Wachina wana kambi Djibouti just seven km from the Amerikan camp. Na Waamerika wanavyoitunisha kambi yao siku hizi za karibuni,Wachina wanafanya hivyo hivyo.
Yaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.Waasi wamekimbilia tigrai ili kuulinda mji huo baada ya kuona huko kwengine wameshindwa pongezi ziende kwa iran china uturuki na dubai
Egypt mchumba tu.......Ethiopia hawana historia ya kuburuzwa kama hao wamisriYaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.
Hawa wangepigana na Egypt wangetandikwa Kama watoto wadogo.
Hawezi ??? Mbona alimzuia Syria?? Unadhani Syria iliishaje bila msaada wa Urusi??Marekani hua haendi sehemu kama hawezi kuvuna faida zaidi! Hawezi tumia mia tano,halafu akapata mia mbili! Je Ethiopia kuna nini hadi Marekani awekeze nguvu zake??
Putin pia hawezi mzuia Marekani kufanya mambo yake,kama ana interest kwenye eneo tajwa hapo sawa! Je Putin ana nini Ethiopia hadi awazuie Marekani kufanya kitu?? Hebu rejea ya Libya na Syria
Kwan kwa akili Misri serikali imepinduliwa mara ngapi na waasi ? rudi shule uijue historia , kuna tofaut kati ya vita ya taifa na taifa na vita vya serikali na waasi maaana waasi huwezi wajua wanaeza kuwa baina yenu kwenye mipango pia so war against traitors is another tough gameYaani Ethiopia ilivyokua inasifiwa kijeshi unaweza ukadhani ilikua na jeshi la maana kumbe Ni utopolo,wamepelekwa mputa mputa hatari.
Hawa wangepigana na Egypt wangetandikwa Kama watoto wadogo.
Dr. Negussie AndreKuna mhadhiri wa sauti yeye ni muethiopia anahojiwa startv anachambua vizuri sana huu mgogoro
Amechambua vizuri sana.Dr. Negussie Andre
Bwawa limenfanya Nini wkt hata kujengwa lilijengwa na haohao watigray?Ethiopia ni Misri Yuko Nyuma ya hii kitu iko wazi wala hamna kingine...Lile bwawa ndio shida na kama sio Wananchi kumuunga mkono Abbiy angeshalamba udongo chini...Najiuliza Hivi hawa Hawana jata Air Defense System...Mana Kama Mnaweza Kuwa na Ndege mnapiga kutokea Juu na Kusonga Ardhini (Infantry ).
Hiyo wiki ijayo vp haijafika tuAbiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF.