Natabiri Yanga kuchukua kombe la Africa

Je ngao ya jamii ni kombe la afrika?
Malengo yao huwa ni kuifunga simba tu,msukule akiwa simba alikuwa anasema ukweli.kwamba kuchukua afrika itachukua miaka tano hadi kumi
Kafika utopoloni kawaahidi this year wanachukua afrika then wakashangalia sana
 
Labda liwe kombe la mganga..
Wawa,Onyango,Boko,Mugalu,Kagere,Tshabala,Mkude,Lwanga n.k hivi kweli kikosi hiki kitacheza na Yanga kweli na wewe unajitoa ufahamu yani unashindwa hata kutafakari na kufananisha uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Simba na Yanga .Haya Tusubiri muda utasema
 
Malengo yao huwa ni kuifunga simba tu,msukule akiwa simba alikuwa anasema ukweli.kwamba kuchukua afrika itachukua miaka tano hadi kumi
Kafika utopoloni kawaahidi this year wanachukua afrika then wakashangalia sana
Hayo ndiyo malengo ya Yanga.Wewe ulitaka malengo ya Simba yafanane na ya Yanga .Aidha Kila club ina malengo yake na mipango yake namna ya kufikia malengo yake kwa kipindi fulani. Kubali kataa hayo ndiyo malengo ya Yanga kwa msimu huu.
Ikitokea hawajayafikia malengo yao mwisho wa msimu watafanya tathimini ni sababu ya kutofikia malengo hayo.Ni kama vile msimu uliopita waliweka malengo ya kuchukua kombe la ligi,Mapinduzi na FA kwa bahati mbaya wakachukua kombe la Mapinduzi pekee na hawakufanikiwa kubeba kombe la ligi na FA baada ya kufanya tathimini na kugundua mapungufu yake wakaja na suluhisho la Usajiri na mambo mengine ya kiufundi ikapelekea kuja na Yanga unayoiona sasa, wewe binafsi uwezo wao unaujua ila unajichetua na kujitoa ufahamu kana kwamba hakuna kitu kilichofanyika .Siku zote muda ni msema kweli ,Subiri muda utasema kati ya Yanga na Simba nani ni bora msimu huu kwenye mashindano ya kimataifa na ligi ya ndani.
 
Hahahahahahaha oooweeeeeee wapi rivers utd mikooonooo juuu
 
Ngoja tuone
 
Kabla ya Simba day mtani utakua umepata majibu
 
Tunakusubiri wewe Simba Nyama pori Tarehe 25/9/2021 ,yana tutakutafunatafuna na kunywa Supu yako bila huruma wewe si jeuri utaona kitakachokupata.
Mzazibar na kushabikia yanga wapi na wapi😁😁

Ondoka huko alizeti FC utakuta na ugonjwa wa presha,yanga siyo timu ya kushabikia😁

Nitakutafuta baada ya hiyo mechi ya 25/9 kwisha..Nina hluhakika utanizimia data🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…