zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Jiandae kisaikolojia.Uthibitisho utaupata kuanzia kwenye ngao ya hisani Tarehe 25/9/2021Labda liwe kombe la mganga..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kisaikolojia.Uthibitisho utaupata kuanzia kwenye ngao ya hisani Tarehe 25/9/2021Labda liwe kombe la mganga..
Je ngao ya jamii ni kombe la afrika?Jiandae kisaikolojia.Uthibitisho utaupata kuanzia kwenye ngao ya hisani Tarehe 25/9/2021
Malengo yao huwa ni kuifunga simba tu,msukule akiwa simba alikuwa anasema ukweli.kwamba kuchukua afrika itachukua miaka tano hadi kumiJe ngao ya jamii ni kombe la afrika?
Wawa,Onyango,Boko,Mugalu,Kagere,Tshabala,Mkude,Lwanga n.k hivi kweli kikosi hiki kitacheza na Yanga kweli na wewe unajitoa ufahamu yani unashindwa hata kutafakari na kufananisha uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Simba na Yanga .Haya Tusubiri muda utasemaLabda liwe kombe la mganga..
Wacha weee naskia mna kipa linadaka hadi gololiWawa,Onyango,Boko,Mugalu,Kagere,Tshabala,Mkude,Lwanga n.k hivi kweli kikosi hiki kitacheza na Yanga kweli na wewe unajitoa ufahamu yani unashindwa hata kutafakari na kufananisha uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Simba na Yanga .Haya Tusubiri muda utasema
Hayo ndiyo malengo ya Yanga.Wewe ulitaka malengo ya Simba yafanane na ya Yanga .Aidha Kila club ina malengo yake na mipango yake namna ya kufikia malengo yake kwa kipindi fulani. Kubali kataa hayo ndiyo malengo ya Yanga kwa msimu huu.Malengo yao huwa ni kuifunga simba tu,msukule akiwa simba alikuwa anasema ukweli.kwamba kuchukua afrika itachukua miaka tano hadi kumi
Kafika utopoloni kawaahidi this year wanachukua afrika then wakashangalia sana
Hahahahahahaha oooweeeeeee wapi rivers utd mikooonooo juuuHayo ndiyo malengo ya Yanga.Wewe ulitaka malengo ya Simba yafanane na ya Yanga .Aidha Kila club ina malengo yake na mipango yake namna ya kufikia malengo yake kwa kipindi fulani. Kubali kataa hayo ndiyo malengo ya Yanga kwa msimu huu.
Ikitokea hawajayafikia malengo yao mwisho wa msimu watafanya tathimini ni sababu ya kutofikia malengo hayo.Ni kama vile msimu uliopita waliweka malengo ya kuchukua kombe la ligi,Mapinduzi na FA kwa bahati mbaya wakachukua kombe la Mapinduzi pekee na hawakufanikiwa kubeba kombe la ligi na FA baada ya kufanya tathimini na kugundua mapungufu yake wakaja na suluhisho la Usajiri na mambo mengine ya kiufundi ikapelekea kuja na Yanga unayoiona sasa, wewe binafsi uwezo wao unaujua ila unajichetua na kujitoa ufahamu kana kwamba hakuna kitu kilichofanyika .Siku zote muda ni msema kweli ,Subiri muda utasema kati ya Yanga na Simba nani ni bora msimu huu kwenye mashindano ya kimataifa na ligi ya ndani.
Ngoja tuoneMwaka huu yanga watachukuwa kombe la afrika najua kuna watakao bisha but this is the trueth na ninafikiri wengine watanitukana na kusema ninaota na wengine watajiuliza eti kwani itawezekanaje yanga iyi tunayo ijua ibebe kombe la afrika bro’s amini ninacho wambia and you will see
Mimi sio mganga wala nani bali naombeni Mungu awape nguvu ili mwisho wa msimu huu mrudie apa kuconment nilicho kiandika
Stay tuned,Yanga imejipanga kweli kweli ni suala la Muda tuHahahahahahaha oooweeeeeee wapi rivers utd mikooonooo juuu
Mzazibar na kushabikia yanga wapi na wapi😁😁Tunakusubiri wewe Simba Nyama pori Tarehe 25/9/2021 ,yana tutakutafunatafuna na kunywa Supu yako bila huruma wewe si jeuri utaona kitakachokupata.