Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

Simba anafungwa goli mbili huku jambazi wa tumbo,twiga ,punda akishuhudia
 
Mkuu amka saa hizi ni 10 jioni usije ukaharibu hapo ukweni
 
Kadi 2 za njano 🤣
 
Unakawia nn kubeti jamaa weka laki 5 ili ushinde milion 20 lkn usinisahau
 
Wala usihangaike kutabiri, mechi analysis ya JF ilifanyika jana na kuonyesha Simba atashinda goli mbili bila.

Kama huamini subiri ujionee mwenyewe mechi ikichezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…