Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

Natabiri yatakayotokea kwenye mechi ya leo Kati ya simba na orlando pirates

Simba Leo anakufa 2-1.. Mimi hii nabet correct Score na nsubiria mpunga wangu tu...
 
img_1_1649482398349.jpg
 
FT
Yanga 5–Somalia 1

Yanga advance to the next stage.
 
Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba.

Lwanga atapewa kadi mbili za njano

Kapombe au sakho mmoja atapata injury

Kennedy juma atachomesha goli 1

Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤤
 
Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba.

Lwanga atapewa kadi mbili za njano

Kapombe au sakho mmoja atapata injury

Kennedy juma atachomesha goli 1

Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
Hongera umejitahidi, tabiri na ya tarehe 30.
 
Back
Top Bottom