Natafakari juu ya kiwanda changu cha toothpicks, sijui ntafanikiwa au sintofanikiwa?

Tatizo sio bei za umeme tatizo ni mkakati wa huyu bwana.ana information gap
Jamaa yuko sahihi nishati ni tatizo kwa nchi yetu.
Ndio maana hata Bei ya saruji inayotengenezwa hapa Bei iko juu kuliko ya iliyosafirishwa kutoka nje.
 
Ukishafungua kiwanda chako ongea na serikali toothpick zinazokuja toka nje zipigwe ushuru mkubwa. Lazima tulinde vya nyumbani (Kama quality nzuri na kama vinajitosheleza).
 
Hapo ndo hata wamarekan wanaburuzwa na wachina,same product low manufacture cost ,huwez shindana nae,lamsingi mkuu jitahd kubana kutafuta cheap labour na kule kwenye kuzalisha low material huenda ukapunguza kitu ,lakin kweny material za kuagzia kule na bei ya umeme huna ujanja,wacha tusubir sera ya Uncle magu ya stiglers gorg(spellng error mayb) kama itafanikiwa huenda umeme ukashusha bei za bidhaa zetu tunazozalisha
 
china anasumbua dunia sababu ya cost of production ni ndogo sana nchini kwake...

kuzalishia tooth pick hapa Tanzania gharama ni juu sana hasa umeme na labour cost.. kushindana sokoni na zilizoingia toka china ni kazi kubwa sana..

ila ni kujipanga tu kwa mbinu zako unazoziamini
 
Sorry guys naomba kujua kodi zinazokatwa kwa kuimport kitu toka nje.
Shukrani
 
Nilishawahi fikiria hii project 3 years back na niko na full proposal na mshauri wangu tulifikia point ya kukubaliana kuwa THIS PROJECT IS INFEASIBLE IN TZ. Unachokisema ni kweli, tulipata shida sana na bei ya umeme plus other costs. Hapo mm kama mm sina cha kukushauri, chekecha data zako vizuri
 
Noted well bro
 
Unataka kutumia material gan kutengeneza toothpick. Kma ni za miti ya kwaida, itakula kwako.
 
Unaweza kuongea na jamaa wanaotengeneza makopo ya maji hapa tz. Au unaweza wacheku tanpack , labda wanaweza kukutengenezea aina yako ya kipekee ya vifungashio kwa bei ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…