Natafakari juu ya kiwanda changu cha toothpicks, sijui ntafanikiwa au sintofanikiwa?

Joined
Nov 15, 2017
Posts
42
Reaction score
31
Mambo zenu waTZ wapenda maendeleo kwa mustakabali wa Taifa letu, naanza kwa masikitiko kwani nimefanya investment kubwa bila evaluation, in mwezi uliopita tu nimesajiri jina la biashara BRELA pamoja na changamoto nilizopitia huko lkn namshukuru MUNGU nimefaulu kupata CERTIFICATE OF INCORPORATION. Nikiwa nafanya yote hayo nilishauriwa nitafute mashamba kwa ajiri ya kuandaa raw material kweli nikauza baadhi ya assets zangu nikapata mashamba mawili, zoez lililofuata ni machine za ku process ili nipate bidhaa, nikauliza bei nchini China ilikuwa ni 12M TZ shilling. Sikuwa na shaka sana ikiwa ni pamoja na shipping cost sikuogopa, shida ikaja baada ya kuanza Fanya tathmin uwezo wa machine kula umeme kwa saa pamoja na gharama za vifungashio. Nikauliza uwezo wa machine nikaambiwa ni 15hp saw na 11.2kw maana yake kwa saa natumia unit 11.2 ambazo sawa na sh.4000. Pia bei ya kila kifungashio ni 0.06$ huko China sawa na 138 ya Tz bado sijasafirisha+kodi nikagundua kila kifungashio ili nikipate niwe na kama 220 ukiweka na 18%VAT. nikaja kuchoka baada ya kujua kuwa Daresalam kuna supplier anae import toka China unajumlisha kwa 300 kila packet ya stick, kwa tathmini ya haraka Mimi nikizalisha niuze kila packet moja 800, yani hapa vidonda vya tumbo vinaninyemelea
 
Pole mkuu hukufanya utafiti kabla ya kuuza aset zako
Mimi kuna kiwanda nataka kuanzisha ila ni mwezi wa tano huu bado nafanyia utafiti wa mambo kem kem
 
Mambo zenu waTZ wapenda maendeleo kwa mustakabali wa Taifa letu, naanza kwa masikitiko kwani nimefanya investment kubwa bila evaluation, in mwezi uliopita tu nimesajiri jina la biashara BRELA pamoja na changamoto nilizopitia huko lkn namshukuru MUNGU nimefaulu kupata CERTIFICATE OF INCORPORATION. Nikiwa nafanya yote hayo nilishauriwa nitafute mashamba kwa ajiri ya kuandaa raw material kweli nikauza baadhi ya assets zangu nikapata mashamba mawili, zoez lililofuata ni machine za ku process ili nipate bidhaa, nikauliza bei nchini China ilikuwa ni 12M TZ shilling. Sikuwa na shaka sana ikiwa ni pamoja na shipping cost sikuogopa, shida ikaja baada ya kuanza Fanya tathmin uwezo wa machine kula umeme kwa saa pamoja na gharama za vifungashio. Nikauliza uwezo wa machine nikaambiwa ni 15hp saw na 11.2kw maana yake kwa saa natumia unit 11.2 ambazo sawa na sh.4000. Pia bei ya kila kifungashio ni 0.06$ huko China sawa na 138 ya Tz bado sijasafirisha+kodi nikagundua kila kifungashio ili nikipate niwe na kama 220 ukiweka na 18%VAT. nikaja kuchoka baada ya kujua kuwa Daresalam kuna supplier anae import toka China unajumlisha kwa 300 kila packet ya stick, kwa tathmini ya haraka Mimi nikizalisha niuze kila packet moja 800, yani hapa vidonda vya tumbo vinaninyemelea
Hujakurupuka .
Na usisite kuanza biashara .

Ushauri wangu.
Anza production kwa hasara na jipe range ya muda wa hasara and then utapata uzoefu na unaweza pia wasiliana na waziri wa wizara ya biashara natambua Anaweza sema kitu.

Usisite kabisa.
 
Fuata huu ushauri

Usirudi nyuma mkuu, forward ever backward never, naelewa unachokisema coz hata mi Nina kiwanda kdgo lkni it has not been a walk in the park.

Kazi ya production is not for the light hearted , it's full of challenges lakini pambana utakuja kujua mambo mengi ukishaanza .
Angalia pia Chinese wanapenda Sana 3phase motors lakini utakuta the machine was designed to run 10hrs non stop so unaweza tafuta motor ndogo like 1.5kw mpaka production itakapokuwa kubwa.

All the best bro , but please never ever give up!!!!!
 
Be blessed, thanks more
Usirudi nyuma mkuu, forward ever backward never, naelewa unachokisema coz hata mi Nina kiwanda kdgo lkni it has not been a walk in the park.

Kazi ya production is not for the light hearted , it's full of challenges lakini pambana utakuja kujua mambo mengi ukishaanza .
Angalia pia Chinese wanapenda Sana 3phase motors lakini utakuta the machine was designed to run 10hrs non stop so unaweza tafuta motor ndogo like 1.5kw mpaka production itakapokuwa kubwa.

All the best bro , but please never ever give up!!!!!
 
Mambo zenu waTZ wapenda maendeleo kwa mustakabali wa Taifa letu, naanza kwa masikitiko kwani nimefanya investment kubwa bila evaluation, in mwezi uliopita tu nimesajiri jina la biashara BRELA pamoja na changamoto nilizopitia huko lkn namshukuru MUNGU nimefaulu kupata CERTIFICATE OF INCORPORATION. Nikiwa nafanya yote hayo nilishauriwa nitafute mashamba kwa ajiri ya kuandaa raw material kweli nikauza baadhi ya assets zangu nikapata mashamba mawili, zoez lililofuata ni machine za ku process ili nipate bidhaa, nikauliza bei nchini China ilikuwa ni 12M TZ shilling. Sikuwa na shaka sana ikiwa ni pamoja na shipping cost sikuogopa, shida ikaja baada ya kuanza Fanya tathmin uwezo wa machine kula umeme kwa saa pamoja na gharama za vifungashio. Nikauliza uwezo wa machine nikaambiwa ni 15hp saw na 11.2kw maana yake kwa saa natumia unit 11.2 ambazo sawa na sh.4000. Pia bei ya kila kifungashio ni 0.06$ huko China sawa na 138 ya Tz bado sijasafirisha+kodi nikagundua kila kifungashio ili nikipate niwe na kama 220 ukiweka na 18%VAT. nikaja kuchoka baada ya kujua kuwa Daresalam kuna supplier anae import toka China unajumlisha kwa 300 kila packet ya stick, kwa tathmini ya haraka Mimi nikizalisha niuze kila packet moja 800, yani hapa vidonda vya tumbo vinaninyemelea

Pole sana ila usikate tamaa bwana. Ila nimecheka ulivyomalizia vidonda vya tumbo vinakunyemelea
 
Mkuu vidonda vya tumbo kwa nini?kwani hizo vijitiza kuchokono meno vinauzwa bei ngapi retail?
 
Imported tooth pick zinazonunuliwa huku kwa mangi ni shilingi mia rejareja. Tatizo Tanzania umeme wetu uko bei ya juu sana ukilinganisha na soko la dunia. Sisi tulianza kuweka umeme kama kitu xha anasa wala sio kitu cha kuzalishia. Bei yetu ya umeme tunacharge kama tunacharge kitu cha anasa kama vile gold sio kitu cha lazima ili bei iwe chini. Kukosea ndio kujifunza, chemsha bongo tu utatoboa
 
Tatizo laja kwenye umeme na pia demand ni kubwa
Hapo zahitajika mashine nyingi kama za kukata
Kusafisha
Kuchonga etc
 
Imported tooth pick zinazonunuliwa huku kwa mangi ni shilingi mia rejareja. Tatizo Tanzania umeme wetu uko bei ya juu sana ukilinganisha na soko la dunia. Sisi tulianza kuweka umeme kama kitu xha anasa wala sio kitu cha kuzalishia. Bei yetu ya umeme tunacharge kama tunacharge kitu cha anasa kama vile gold sio kitu cha lazima ili bei iwe chini. Kukosea ndio kujifunza, chemsha bongo tu utatoboa
Tatizo sio bei za umeme tatizo ni mkakati wa huyu bwana.ana information gap
 
Back
Top Bottom