Natafakari maneno ya Jenerali Ulimwengu kwamba hii nchi inaugua

Natafakari maneno ya Jenerali Ulimwengu kwamba hii nchi inaugua

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
Hivi karibuni kulikuwa namjadala pale Four Points ambapo wadau mbalimbali wasiasa walihudhuria kujadili masuala ya ukatili dhidi ya wanawake wakati wa uchaguzi. Katika watu waliokuwepo ni pamoja na msajili wa vyama vya siasa, na Jenerali Ulimwengu.

Katika maoni mzee Ulimwengu aliongea wazi kwamba nchi hii inaumwa na pia alitoa wito wa nchi kuwa na jukwaa ambalo wananchi wanaweza kutoa maoni yao na kusikilizwa. Kwa uzoefu wake alisema naandika kama alivyosema, kwamba maoni ya wananchi yanahitaji chombo cha kitaifa, TBC ilianza kama chombo cha Tiafa baadae kikawa chombo cha serikali, baadae kikawa chombo cha CCM na sasa ni chombo cha Samia.

Haya maoni yake yameniwazisha kwa muda mrefu na leo nimeona niandike, kwamba kwanini isionekane haja ya kurekebisha mathalani TBC ambayo kilipaswa kuwa chombo cha Taifa.

Hata hivyo mara baada ya Ulimwengu kujibizana na msajili baadae niliona amepotea tu kwenye mdahalo. Waandishi habari walikuwepo ila hadi leo sijaona hii story hivyo nimeona niandike alivyosema ili kuweka kumbukumbu sawa.

Nawasilisha.
 
Hii nchi inaugua ugonjwa mbaya sana. Na tiba sahihi isipo patikana tarehe 29, basi tujiandae kushuhudia kifo chake. Hiki kinachoendelea kwa sasa hakivumiliki hata kidogo.

Anasubiriwa tu mtu wa kuchomoa betri. Maana TAL, Slow slow, Capt. Tesha na wazalendo wengine walisha safisha njia kitambo.
 
Kuugua? Hii nchi ilishakufa, kinachoendelea ni ndugu wa marehemu kudhurumu mirathi wakiwa hawataki kusikiliza chochote
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom