- Thread starter
- #161
Nasikia jana kaja kunitafuta,home night kali sijajua anachotaka nimemwambia very clear siko interested na hii michezo ya paka na panya aendelee na maishe yake.Hayo ndio malipo ya ujentromeni na u nice guy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oya jentromen achana nae huyo mwanamke na wewe mpotezee usijihushe na chochote kile futa kila kitu hata Kama Kuna biashara mpo pamoja ifilisi badili nyingine ....vitanda vyote ulivyo tumia kumpakulia uza au gawa .....paka rangi chumbani nunua furniture mpya ....yaaani uwe mpya
Najua atajirudi kwa Kasi ya 4g sasa fanya usenge Tena sawa nice guy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]