Natafakari nini cha kumfanya...

Natafakari nini cha kumfanya...

Kama kun vitu unaweza ludisha kwako ludisha ila kwa akili usilipe kisasi katik 10m hakun material thing ?

Hahahhah
Ata sijavihesabu sina haja navyo kaka kabsa, kwa sasa roho yangu ili iwe na amani natamani apate maumivu yangu alafu basi niendelee na maisha yangu
 
Dah mwaka jna nilizama kwenye penzi la binti mmoja mpole mzuri aisee sijawai kufall in love na kutumia pesa kwake kama nilivyofanya Kwa Yule mwanamke nashukuru Mungu tulikuwa mikoa tofauti kwaiyo haikuwa ngumu sana kumuacha na kumbadilishia matumizi maana Yule mtu ni Malaya mbwa Bora nilijua mapema
 
Milioni 10 kwa miezi 6..?
Brother 10M+ sio masihara kwa week nilikuwa na tuma 50k at least mara 4 au 3 bado plus ada, vitu vyakula ndani, mtaji,furnitures plus vingi na vingi but in all yani vyote ivo hajaviona yani kweli wanawake ni watu wa ajabu sana kuna mda nilimkodishia gari miezi mitatu nalipa, siku anashida ya hela ya kula nilibidi niweke bond simu kwa masaa machache ili nitume hela ya kununua vitu leo unaniambia nisimfanye kitu kweli?
 
Tatizo lilianza hapa ""....... mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi...""

Una ji-komit vipi kwa Single Maza?

Single maza ni wa kuwapelekea moto tuu. Yaani unakaa chini na kumpenda single maza 😳😳😳

Jokajeusi njoo uone hii mtu.

#YNWA
 
Tatizo lilianza hapa ""....... mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi...""

Una ji-komit vipi kwa Single Maza?

Single maza ni wa kuwapelekea moto tuu. Yaani unakaa chini na kumpenda single maza [emoji15][emoji15][emoji15]

Jokajeusi njoo uone hii mtu.

#YNWA
Sijaona tatizo la single mothers in general labda huyu tu anamashida yake na tamaa, Sidhani kama kuna link yoyote aliyoyafanya na kuwa single mother nisaidie hapo kujua uhusiano uliopo
 
Sijaona tatizo la single mothers in general labda huyu tu anamashida yake na tamaa, Sidhani kama kuna link yoyote aliyoyafanya na kuwa single mother nisaidie hapo kujua uhusiano uliopo
Unampendaje mwanamke?
Mpende sasa mle then SEPAAAAA

Nilikoseaga mara MOJA tu (2015) sitokuwa nikosee Tena.

#YNWA
 
Brother 10M+ sio masihara kwa week nilikuwa na tuma 50k at least mara 4 au 3 bado plus ada, vitu vyakula ndani, mtaji,furnitures plus vingi na vingi but in all yani vyote ivo hajaviona yani kweli wanawake ni watu wa ajabu sana kuna mda nilimkodishia gari miezi mitatu nalipa, siku anashida ya hela ya kula nilibidi niweke bond simu kwa masaa machache ili nitume hela ya kununua vitu leo unaniambia nisimfanye kitu kweli?
Ada ya nani au ulizaa nae?
 
Back
Top Bottom