MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kama uko serious nifaute mweneyewe PM maana mpaka hapo nahisi huna sura Wala uno hivyo umeamua kujifia na kwakuwa Mimi ni shababi la bwana na ninazo sifa zisizomithirika kwa uzuri na wema haina budi wewe kunitongoza Mimi .
Sifa zangu .
Sinywi pombe ila ulanzi tu .
Dini ninayo japokuwa naenda nikijisikia hasa nikihisi amasa ya moyo .
Nina gari Corolla Kali kabisa ,inajulikana mpaka na Rpc wa mkoa kwa ubora wake na number plate zake .
Nimejenga huku Kijiji nina kanyumba ka matope vyumba vitatu ila very classsic .
Ni mndewa wa hapo mjini Kati ,kuhusu Mali za urithi ziko hapo downtown .
Ni mwajiriwa na Sasa nilikopa black hela nyingi wamekosea vigezo hivyo sitawalipa wakinibana nafungua kesi hivyo njoo tuzitumbue .
Nilioa nikaachwa hivyo Sina mke .
Mwingine zaidi njoo PM naona tukioana maana haina namna zaidi ya kukusaidia hivi dada