Natafauta mwenza (mwanaume)

Natafauta mwenza (mwanaume)

Am a Single mom with a 6 years old daughter, a proudly mom, Na miaka 30 naishi dar, business woman.

Ni mnene kweli bonge la mama, mweusi na sio mfupi sio mrefu, mchapa kazi, nimesoma sio haba.

Natafuta matured man, awe na kazi au biashara, not bellow 30yrs na azidi 50yrs.
Kabila lolote isipokuwa msukuma kabila la baby dady silitaki.

Serious aje dm.
miaka iyo punguza jaman mbona mnataka wazee tupen fulusa na ss vijana😢
 
Am a Single mom with a 6 years old daughter, a proudly mom, Na miaka 30 naishi dar, business woman.

Ni mnene kweli bonge la mama, mweusi na sio mfupi sio mrefu, mchapa kazi, nimesoma sio haba.

Natafuta matured man, awe na kazi au biashara, not bellow 30yrs na asizidi 50yrs, kabila lolote isipokuwa Msukuma kabila la baby dady, silitaki.

Serious aje PM.
Ushafanikiwa kaba bado njoo inbobo tuyapange
 
Back
Top Bottom