emmanuelmnzava
New Member
- Jul 8, 2010
- 1
- 0
Afadhali umenielewesha. Nilikuwa sijamwelewa vizuri. Am slow learner ukumbuke!Nenda Nafasi na tenda forum kuna post inaelekeza tunakosea wapi ktk kutafuta kazi, wewe una BA Accountancy ni elimu yako kazi unayotafuta sasa ndo itategemea na nafasi zilizopo, zilizotangazwa.
Afadhali umenielewesha. Nilikuwa sijamwelewa vizuri. Am slow learner ukumbuke!
Mimi ninavyofahau umesoma something to do with accountancy BA, Bcom, BAF etc. ambazo course structure inagusa maeneo mengi sana. hivyo unatakiwa specifically ujue unafahamu nini, unatafuta nini nk. mambo ya slow learner au fast learner utaangalia kwenye requirements za nafasi husika. Hivyo unatakiwa kuwa makini hatutafuti kazi kwa course bali what you have in your head inaweza isiwe accountancy kama unavyotamka bali combination ya vitu vingi.
Kila la kheri katika job search
Jamani msameheni huenda ni frustration kwani kipindi cha kutafuta kazi ni kigumu sana.