natafta kazi ya bachelor in accountancy

natafta kazi ya bachelor in accountancy

Unatafuta kazi ya bachelor of Accountancy? Au ulimaanisha nini mkuu?
 
Nenda Nafasi na tenda forum kuna post inaelekeza tunakosea wapi ktk kutafuta kazi, wewe una BA Accountancy ni elimu yako kazi unayotafuta sasa ndo itategemea na nafasi zilizopo, zilizotangazwa.
 
Nenda Nafasi na tenda forum kuna post inaelekeza tunakosea wapi ktk kutafuta kazi, wewe una BA Accountancy ni elimu yako kazi unayotafuta sasa ndo itategemea na nafasi zilizopo, zilizotangazwa.
Afadhali umenielewesha. Nilikuwa sijamwelewa vizuri. Am slow learner ukumbuke!
 
Afadhali umenielewesha. Nilikuwa sijamwelewa vizuri. Am slow learner ukumbuke!

Mimi ninavyofahau umesoma something to do with accountancy BA, Bcom, BAF etc. ambazo course structure inagusa maeneo mengi sana. hivyo unatakiwa specifically ujue unafahamu nini, unatafuta nini nk. mambo ya slow learner au fast learner utaangalia kwenye requirements za nafasi husika. Hivyo unatakiwa kuwa makini hatutafuti kazi kwa course bali what you have in your head inaweza isiwe accountancy kama unavyotamka bali combination ya vitu vingi.

Kila la kheri katika job search
 
umesoma chuo gani??umemaliza mwaka gani??na umefaulu kwa kiwango gani??
 
Mimi ninavyofahau umesoma something to do with accountancy BA, Bcom, BAF etc. ambazo course structure inagusa maeneo mengi sana. hivyo unatakiwa specifically ujue unafahamu nini, unatafuta nini nk. mambo ya slow learner au fast learner utaangalia kwenye requirements za nafasi husika. Hivyo unatakiwa kuwa makini hatutafuti kazi kwa course bali what you have in your head inaweza isiwe accountancy kama unavyotamka bali combination ya vitu vingi.

Kila la kheri katika job search

Nashukuru kiongozi....... nadhani mtoa mada amekuelewa.
 
Kwani kuna job title inayoitwa Bachelor in Accountancy? Kuna waajiri humu, na huenda hiyo ni interview tosha uliyojipa mwenyewe.
 
Jamani msameheni huenda ni frustration kwani kipindi cha kutafuta kazi ni kigumu sana.
 
Jamani msameheni huenda ni frustration kwani kipindi cha kutafuta kazi ni kigumu sana.

Lakini anatakiwa ayachukue haya positively maana yatamsaidia sana. Ofcourse hiki kipindi huwa ni too frustrating nakumbuka kuna jamaa aliwahi kuambiwa kuna kampuni inatafuta Geologist yeye kasoma social science akaandika application kwamba Geology aliisoma kwenye Geography A level. Ni kipindi cha mpito fulani lakini kinahitaji uvumilivu wa kutosha. Bora Emma ana access na internet suala ni kuangalia links za kutosha zinazohusiana na recruitments. Wadau wenye link mnaweza kutoa msaada hapa
 
Wengine wana weka post kupitia simu zao za mikononi na wakati mwingine katikakuandika mambo huchanganyika. Muhurumieni na mwenye kuweza kumsaidia na amsaidie.
 
....no wonder why utafutaji kazi huonekana mgumu? Huyu kijana hayupo serious kabisa na job search.......! halafu utakuta analalamika kazi hazipatikani....etc etc!.....angalia subject ilivo kaa kaa, angalia details zake alivoziweka....yaani kazi kweli kweli!
 
Hii forum ni ya "nafasi za kazi na tenda" Mbona siku hizi imevamiwa na wanaotafuta kazi na siyo wanaotangaza nafasi za kazi? au mimi ndo sielewi contents zake.
 
Hawa ndio wasomi ambao Tz inawauza kwene EAC kazzzzzz kwelikweli.
 
Kuhangaika kwa nini?Si Bora tu nimepata Degree yangu.........."MindSet".
 
Back
Top Bottom