Natafta malkia wa ngome yangu

magumbugu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
143
Reaction score
266
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa,
mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa kipengele mama la mama hayupo, basi kama humu yupo naye yuko dilema ebu anicheki tuyajenge , kikubwa umri uwe kuanzia miaka 25 hadi 30 sio issue, ajitegemee , mkiristo,
karibuni sana
 
Endelea kutafta
 
Mwamba huko unakopitaga hujapata jamani? Anyway utapata wa hapa usijali rafk
 
Wee hela huna! Uwe na hela ukose hawa viumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…