Natafta malkia wa ngome yangu

Natafta malkia wa ngome yangu

sinaga hzo mbishe za kupita pita, maana uzinzi ni umasikini mkuu, ndo maana nimeona nije nichungulie humu mama la mama akipatikana,
Ninachomaanisha ni kwamba huko unakoji associate kanisani, makazini, kwenye semina, vyuo uliosoma nao maana hao unakuwa unawafahamu kwa sehemu na umeona tabia zao, sijamaanisha kufanya uzinzi. Nilishauri uangalie huku kama unataka wa kuoa na kama unataka stress ufe mapema uchanganyie na ujikute unalewa sana, subiri tu utapata niko pale niite mbwa
 
Wee hela huna! Uwe na hela ukose hawa viumbe?

Wee hela huna! Uwe na hela ukose hawa viumbe?
mkuu tofautisha mke na malaya, ulimwengu unakumbwa na changamoto ya uhaba wa wanawake wenye uwezo wa kuwa wake, ila una changudoa wengi mno wenye mavazi ya wake, sasa kuwa makini na wahenga walisema ukiwa na huna hela uwezekano wa kupata mke ni mkubwa, ila ukiwa na hela utavuta malaya wengi mno,
 
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa,
mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa kipengele mama la mama hayupo, basi kama humu yupo naye yuko dilema ebu anicheki tuyajenge , kikubwa umri uwe kuanzia miaka 25 hadi 30 sio issue, ajitegemee , mkiristo,
karibuni sana
Haiombwagwi hivyo braza
 
Atafute wa kuanzia 22 hadi 27 aishie hapo

Gap la kuanzia 10 to 5 yrs
Kama utani hivi lkn just imagine mtoto aliyezaliwa nikiwa form three najikuta nampigia sound nikijuwa atakuwa na 27 kumbe ndo kwanza ana 19.
 
sawa kapteni moto


Pitia na hapa brazaa
 


Pitia na hapa brazaa
mwanangu bikra unawapata wapi
 
Kama unalipwa kuanzia milioni Tano Kwa mwezi kwenye hiyo kampuni sema nikuunganishe Kuna mchaga mrembo namfahamu.si unajua wachaga kwenye maokoto hawana ujanja.
 
Kwa hiyo unafikiri utapata bikra?.Kwa umri wako utapata japanese used car Tena namba A
issue sio used issue ni mwanamke mwenye sifa za kuwa mke, sasa unapotaja pesa maana yake unataka nitumie pesa kumshawishi, tofasiri yake huyo ni bidhaa, yaani malaya,
 
Back
Top Bottom