Natafta marafiki wakuchat

Natafta marafiki wakuchat

Dotmag

Member
Joined
Aug 30, 2019
Posts
37
Reaction score
22
Natafta marafik wakuchat kupoteza mawazo ila wawe wakiume tu....haswa waliopo mwanza ili sometime tunakuwa tunatembeleana
 
Onyo
Nikiwa kama moderator mwandamizi nipende kuwaambia wadada tumieni majina mazuri Fulani hivi ikishindikana mkataka mtumie majina yenu ya kilugha au ukoo wekeni hata Miss au cute something like that mnatuchanganya huku

Mimi nilijua mtoa Mada ni baharia Dotmag
Kumbe Miss dotmag ..bibie najua lazima utafungua I'd nyengine huo ushaur hapo juu fuata laasivo nitakupiga ban
 
Back
Top Bottom