Natafta mchumba baadae mke

Natafta mchumba baadae mke

Hilo jina.Hayupo serious
Dini yoyote , nchi yoyote ile, asiwe mfupi,urefu wa wastani au mrefu zaidi, mzuri wa shape na sura,rangi yoyote, mwenye mawazo chanya,elimu walau darasa la saba, umri asizidi miaka 28

Juu yangu:
Mrefu, mweupe,mjasiriamali,degree chuo kikuu, mchaga, miaka 28, mkristo

Karibu pm
 
Wachaga wabahiri haooo

Aisee bora uchukue mke, Ila si pesa yao eti,anaweza ua kabisa

Hela hela acha kabisa.
Ohooo, kumbe[emoji3] [emoji3] bora achukuliwe mke wake kuliko pesa ?duuh wako in love na pesa kiasi hichoo, vipi wee "hunijui sikujui" hizi tuhuma ni za kweli?
 
@financial service usiogope dear
Id fake isikupe hofu pengine ni soulmate wako kabisa
Haha haha
Haupendi mchaga nn mnyakyu.
Haha, upendo huangukia popote mamaa Dinnah tena mchaga na mnyaki itakua poa hyo , ila tu umeniogopesha ulivosema wanapenda pesa kuliko mke[emoji3]
 
Uzuri wa sura uko machoni pa mtu, shape nzuri inategemea kwako uzuri wa shape ni namba ngapi, au ya namna gan maana kila mtu ana shape na inaeza kuwa nzuri kulingana na mtu anavopenda
 
Back
Top Bottom