Natafta mchumba baadae mke

Hilo jina.Hayupo serious
 
Wachaga wabahiri haooo

Aisee bora uchukue mke, Ila si pesa yao eti,anaweza ua kabisa

Hela hela acha kabisa.
Ohooo, kumbe[emoji3] [emoji3] bora achukuliwe mke wake kuliko pesa ?duuh wako in love na pesa kiasi hichoo, vipi wee "hunijui sikujui" hizi tuhuma ni za kweli?
 
@financial service usiogope dear
Id fake isikupe hofu pengine ni soulmate wako kabisa
Haha haha
Haupendi mchaga nn mnyakyu.
Haha, upendo huangukia popote mamaa Dinnah tena mchaga na mnyaki itakua poa hyo , ila tu umeniogopesha ulivosema wanapenda pesa kuliko mke[emoji3]
 
Uzuri wa sura uko machoni pa mtu, shape nzuri inategemea kwako uzuri wa shape ni namba ngapi, au ya namna gan maana kila mtu ana shape na inaeza kuwa nzuri kulingana na mtu anavopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…