Nadhani mmenielewa vibaya, ninapo sema asinipenda Sana ila aipende ndoa yake, maana yake nikwamba siitaji mapenzi ya maigizo Bali naitaji mapenzi ya dhati mapenzi ya kudumu, inawezekana wengi wetu tunaferi kwenye mausiano ya mapenzi kutokaña nakujifanya tunajuwa kupenda kumbe nimaigizo tu, hakika nakwambia wanao pendana kwa kiasi huwa na nafasi kubwa ya kudumu kuriko wale wanaoanza mapenzi yao kwa mbwembwe wakiamini wanapendana Sana na mwisho wa siku mapenzi yao huzimika Kama kibatari,
Moja ya sababu kubwa zinazo fanya mausiano au mapenzi ya watu wanao pendana kwa kiasi kumu
1 Kila mmoja hukaa anafikiria namna ya kuboresha mausiano yake na mwenza wake
2 kilammoja hukaa natahadhari kubwa na kuhakikisha hamkwazi mwenzie nahii hutokana nakila mmoja kuwamini kuwa mausiano yake siyo imara hivyo hutaji kulindwa kwa gharama yoyote, tofauti nawale wanao amini kuwa wanapendana kwa dhati, Jambo ambaro huwa linawagalimu pindi wanapo kwaruzana, nahii nikwa sababu kilammoja wao huwamini anapendwa Sana Jambo ambaro huchangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kwa ubunifu katika mausiano jayo,
Hivyo mantiki yangu yakuta mwanamke asinipenda Sana ila aipende Sana ndoa yake, maana yake naitaji mwanamke mbunifu katka mausiano anaye fikiria kuboresha kuimarisha na kuendereza.
Kalibuni sana