financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaaa, ushakidhi kabla hata sijalisoma baba watoto, ila tu huo utrouble maker tu ndiyo shaka kidogo, usijekua trouble maker hadi kwenye ndoa[emoji3] [emoji3]Nimeweka bango na mimi embu kalipitie basi kama nakidhi.
Nadhani mmenielewa vibaya, ninapo sema asinipenda Sana ila aipende ndoa yake, maana yake nikwamba siitaji mapenzi ya maigizo Bali naitaji mapenzi ya dhati mapenzi ya kudumu, inawezekana wengi wetu tunaferi kwenye mausiano ya mapenzi kutokaña nakujifanya tunajuwa kupenda kumbe nimaigizo tu, hakika nakwambia wanao pendana kwa kiasi huwa na nafasi kubwa ya kudumu kuriko wale wanaoanza mapenzi yao kwa mbwembwe wakiamini wanapendana Sana na mwisho wa siku mapenzi yao huzimika Kama kibatari,Hataki kupendwa sana eti ,kwani Mimi Dada yake au mke wake[emoji3] , najiona sina vigezo tayari maana ntampenda sana ikawa shida akaniachaa
unafahamu jinsi gani sina ujanja mbele yako.Hahaaa, ushakidhi kabla hata sijalisoma baba watoto, ila tu huo utrouble maker tu ndiyo shaka kidogo, usijekua trouble maker hadi kwenye ndoa[emoji3] [emoji3]
Hahaa, mwanzo mambo huwa matamuu ila after time vitu vinabadilika ,utrouble maker huanza, je hautobadilika?? [emoji30] [emoji30]unafahamu jinsi gani sina ujanja mbele yako.
Lumumba ndio nchigani Allency[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]
Umeandika vyema!! Inaonekana unauelewa mkubwa wa saikolojia ya ndoa..Nadhani mmenielewa vibaya, ninapo sema asinipenda Sana ila aipende ndoa yake, maana yake nikwamba siitaji mapenzi ya maigizo Bali naitaji mapenzi ya dhati mapenzi ya kudumu, inawezekana wengi wetu tunaferi kwenye mausiano ya mapenzi kutokaña nakujifanya tunajuwa kupenda kumbe nimaigizo tu, hakika nakwambia wanao pendana kwa kiasi huwa na nafasi kubwa ya kudumu kuriko wale wanaoanza mapenzi yao kwa mbwembwe wakiamini wanapendana Sana na mwisho wa siku mapenzi yao huzimika Kama kibatari,
Moja ya sababu kubwa zinazo fanya mausiano au mapenzi ya watu wanao pendana kwa kiasi kumu
1 Kila mmoja hukaa anafikiria namna ya kuboresha mausiano yake na mwenza wake
2 kilammoja hukaa natahadhari kubwa na kuhakikisha hamkwazi mwenzie nahii hutokana nakila mmoja kuwamini kuwa mausiano yake siyo imara hivyo hutaji kulindwa kwa gharama yoyote, tofauti nawale wanao amini kuwa wanapendana kwa dhati, Jambo ambaro huwa linawagalimu pindi wanapo kwaruzana, nahii nikwa sababu kilammoja wao huwamini anapendwa Sana Jambo ambaro huchangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kwa ubunifu katika mausiano jayo,
Hivyo mantiki yangu yakuta mwanamke asinipenda Sana ila aipende Sana ndoa yake, maana yake naitaji mwanamke mbunifu katka mausiano anaye fikiria kuboresha kuimarisha na kuendereza.
Kalibuni sana
Kumpata mke kunaitaji mchakato, nawara siyo tukio lasikumoja,na kwakuwa sisi wanaume asiriyetu niuwindaji inabidi uweke mitego Kila sehemu unayo hisi unaweza kupta kire unachokiitaji, waswahili usema ukiona kichaka rusha jiwe uone kitakacho toka.Umeandika vyema!! Inaonekana unauelewa mkubwa wa saikolojia ya ndoa..
ila kwann saikolojia ndogo tu ya kutafuta mke inakushinda?