Natafta mpenzi wa kike niko singida mm na 24 yrs b

Natafta mpenzi wa kike niko singida mm na 24 yrs b

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Niko singda natafta mwanamke wakuanaye ,akipenda mungu awe mke wangu mm na miaka 24 but yy akiwa ata na 32 sio mbaya nitafte dm kama unahitaji
 
Singida ndipo wanakula Punda? Ni wakati wa mizimu ya Punda kuongea sasa.
 
Niko singda natafta mwanamke wakuanaye ,akipenda mungu awe mke wangu mm na miaka 24 but yy akiwa ata na 32 sio mbaya nitafte dm kama unahitaji
Tafuta hela dogo,huo umri sio muhafaka kuanza kuhangaika na wanawake,umri huo kaka zako turikuwa tumeishakuwa m professional engineers,tunafanya makubwa duniani,
 
Back
Top Bottom