Usimkatishe tamaa. Biashara ya kilimo inamfaa Sana Tu tena Sana na haswa haswa Kwa Akina ' Pangu pakavu Tia mchuzi' Iwapo, narudia tena iwapo Tu unakichukulia kilimo Kama biashara nyingine yeyote na ukawa na malengo ya muda Mrefu. Full stop!!Sawa kijana uko na roho ya uthubutu kijana ila cha kukushauri kama ndio unaanza kujitafuta biashara ya kilimo haikufai tafuta aina nyingine ya biashara uandae mchanganuo mzuri kisha ndio utafute wadhamini.
Biashara ya kilimo inawafaa watu wenye pesa za ziada na wenye biashara nyingi so hata kilimo kikimtenda haumii sana atafidia pesa yake kupitia biasharq zake zingine ila kama ni mwenzangu na mimi ndio umekopa hela uiingize shambani ndugu yangu utalia na kusaga meno.
Labda kama unaongelea kilimo cha jembe la mkono cha kuvuna gunia tatu za kula mwenyewe na familia yako.Usimkatishe tamaa. Biashara ya kilimo inamfaa Sana Tu tena Sana na haswa haswa Kwa Akina ' Pangu pakavu Tia mchuzi' Iwapo, narudia tena iwapo Tu unakichukulia kilimo Kama biashara nyingine yeyote na ukawa na malengo ya muda Mrefu. Full stop!!
Ushauri wangu unalenga Kwa vyote viwili, yaani Kwa aliye na mtaji na Akina Pangu pakavu. Lakini Kwa Akina Pangu pakavu Tia mchuzi' ndipo mahali pakutobolea.Labda kama unaongelea kilimo cha jembe la mkono cha kuvuna gunia tatu za kula mwenyewe na familia yako.
Na ukisema ulime kwa malengo ya muda mrefu ndio unatakiwa uwe na pesa ndefu yenye muendelezo yaani kwa mfano umelima mara ya kwanza halafu ukavuna mabua msimu unaofuata unaingiza pesa tena may be unavuna kiasi fulani unarudisha nusu ya mtaji kisha msimu wa tatu unaingiza tena pesa ndio unavuna na kupata kafaida kidogo.
Sasa hizo pesa za kuingiza shambani kwenye hiyo misimu yote utakuwa unazipata wapi kama ni pangu pakavu?
Nani atakubali kukukopesha hela mara mbili na huku anakuona kabisa awamu ya kwanza umeingiza pesa shambani na hazijarudi.
Uko sahihi!Ushauri wangu unalenga Kwa vyote viwili, yaani Kwa aliye na mtaji na Akina Pangu pakavu. Lakini Kwa Akina Pangu pakavu Tia mchuzi' ndipo mahali pakutobolea.
Kwanza hakuna mtu wala taasisi ya fedha inayompa Mkopo mtu asiyekuwa na cents za kuanzia yeye mwenyewe. Hivyo basi Pangu Pakavu akishalijua Hilo Hana HAJA ya kuwa na shida ya mafanikio ya haraka sababu Hana huo uwezo. Anatakiwa apange mipango ya muda Mrefu 'Long term Plans' kutegemea na ulichonacho Binafsi pasipo kuomba Mkopo kokote kule, jasho lako Tu Kwa kuanzia litakupa mafanikio iwapo utakuwa na mipango ya muda Mrefu.
NI kwanini iwe ' Long term Plans' sababu huna kitu na hata iweje uwezi fanikiwa Kwa muda mfupi! Matokeo yake utaishia kuhesabu siku Tu, wiki, miezi Hadi miaka utakuwa pale pale Tu. Kama huna mtaji na wala huna assets basi 'Komaa' Kwa nguvu na akili zako Kwanza ili update kianzio. Tatizo linalosumbua NI kwamba unataka ufanikiwe haraka haraka wakati mtaji haupo. Karibu Kwa ushauri
High Risk, High Profit!Sawa kijana uko na roho ya uthubutu kijana ila cha kukushauri kama ndio unaanza kujitafuta biashara ya kilimo haikufai tafuta aina nyingine ya biashara uandae mchanganuo mzuri kisha ndio utafute wadhamini.
Biashara ya kilimo inawafaa watu wenye pesa za ziada na wenye biashara nyingi so hata kilimo kikimtenda haumii sana atafidia pesa yake kupitia biasharq zake zingine ila kama ni mwenzangu na mimi ndio umekopa hela uiingize shambani ndugu yangu utalia na kusaga meno.
Yes you are right but you should have your own capital to risk.High Risk, High Profit!