suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
natafta rafki mkiristo ambae ni jinsia yoyote kwa ajir ya kukumbushana neno la mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natafta rafki mkiristo ambae ni jinsia yoyote kwa ajir ya kukumbushana neno la mungu
natafta rafki mkiristo ambae ni jinsia yoyote kwa ajir ya kukumbushana neno la mungu
Weka picha tuone.
Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.
Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.
cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.

mdogo wangu suzy daniel usibague sio vizuri hili jukwaa ni la dini zote kabila zote jinsia zote nk nk nk .ukitaka kukumbushana neno la Mungu mwagika tu mistari utapata wachangiaji lakini usitangulize dini mbele unasikia mdogo wangu suzy...! Haya mama nakupenda sana usisahau kuoga mapema leo eeh mama na kufanya homework
Babu Asprin a.k.a inspector naona uko kazini lol inaonekana kila manzi umemkagua hatari sana wewe. Habari yako lakn mzee.
jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani jamani
heeeeeeeeeeeeee! mmapo ngafu lelo
Haka kamwandiko nakafananisha na kabinti kamoja nlishakakagua humu ndani. Kama ndo wewe jitambulishe kabla sijakupangia ratiba ya ukaguzi.
Weka picha tuone.
Afu kuna jukwaa la dini kule. Hapa chitchat hakuna udini. Tunabanjuana kwa raha zetu. Tunanyang'anyana wapenzi bila shuruti. Yani full kujiachia isipokuwa ushoga na usagaji.
Baada ya kusema hayo, hebu chapchap sana kam zis wei nikukague kikristo ili ujiunge kwenye timu yetu pendwa ya mabazazi ya ukweli.
cc KakaKiiza kwa taarifa na angalizo.
heheheheheeee ulishanifanyia ukaguzi halafu ulinipa chocolate
ukasema hii ndo shukrani yako kwangu umesahau tena
KUMBUKA BHANA
babuuuuuuuuuuuuuu
Ewaa nshakukumbuka. Tena we sikumalizia kukukagua. Kam zis wei kwa ukaguzi wa mwisho. Tena uje without.
Mpenzi eti ni kweli umeniita au ni umbea wa watu? Kama umeniita nipige kabisa supu ya pweza kieleweke mazima.
nije without nini tena .............?
babu kwani hadi supu ya pweza? kwani umezeeka kiasi iko?
Tena supu ya pweza haitoshi, shurti tena niangalie mananiliu kwa DVD ndo kifaa kikuu cha ukaguzi kinakuwa tayari kwa kazi. Hujajibu, uliniita???