natafta rafiki mkristo

Kumbe umejua eeh lazima nikubanie. Uchoyo ndio mpango mzima, we ulitaka nivuevue tu bila mpango inahuu

Sio lazima uvue. Hata kinguonguo chapchap sana. Njia kuu foleni, mchepuko ndo mpango mzima.
 
Sio lazima uvue. Hata kinguonguo chapchap sana. Njia kuu foleni, mchepuko ndo mpango mzima.

Usinifundishe umazazi miye, nabaki njia kuu vichochoro vina madimbwi vitanichafulia gari yangu.
 
nimekusubiri PM mbona hukutokea babuu

Nina mpango wa kutokuongea na wewe mpaka January mwaka 2016. We ni wa kumchomesha babu yako mahindi PM. Hivi unajua siku nlipomlala bibi yako akazaliwa mama yako ningepiga puchu hivi leo bado ungekuwa kwenye korodani zangu?
 
Usinifundishe umazazi miye, nabaki njia kuu vichochoro vina madimbwi vitanichafulia gari yangu.

Helikopta haipiti kwenye madimbwi wala njia kuu. Njoo chemba uinjoi mchepuko.
 
Nina mpango wa kutokuongea na wewe mpaka January mwaka 2016. We ni wa kumchomesha babu yako mahindi PM. Hivi unajua siku nlipomlala bibi yako akazaliwa mama yako ningepiga puchu hivi leo bado ungekuwa kwenye korodani zangu?

usifanye hivyo babuu, siunajua tena bila wewe siwezii
 
Jamani kwaherini. Ntakuwa busy PM na Eshy m.s. Wanaohitaji kukaguliwa leo wanitafute kesho.

halafu we babu acha usanii, mi nipo huku nimekusubiri hadi nimechoka we hutokei tu, umepitia wapi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…