nyamatingo
Member
- Feb 25, 2017
- 16
- 10
Yoyote mwenye aina hii ya maharage. Yaliyovunwa kuanzia mwezi wa 6. Anitafute kwa namba 0687575502.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki kwa simu kiongoziUnanunua shi ngapi na unahutaji kiasi gani mkuu?
Ok sawa ila kwa faida ya wote ungeweka wazi hapaNicheki kwa simu kiongoz
Nanunua 1100 per kgOk sawa ila kwa faida ya wote ungeweka wazi hapa
Ok ngoja tuchangamkie fursa sasaNanunua 1100 per kg
Uhitaji ni mkubwa
Unaweza anza na kuleta tani 25-30
Mnunuzi yupo Dar es salaam
PoaOk ngoja tuchangamkie fursa sasa
0687575502 tuongeeMhhh 1100 boss inabana sana hauwezi adjust zaidi ya hapo tufanye biashara
Hivi haya ndio yale maharagwe yanayitwa combat sio?Yoyote mwenye aina hii ya maharage
Yaliyovunwa kuanzia mwezi wa 6
Anitafute kwa namba 0687575502View attachment 1862158
Ndio hayo mkuuHivi haya ndio yale maharagwe yanayitwa combat sio?