Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Nasikia ni dili sana.Unazitakia nini?
hahahahahaaMara Mia tano ya noti
Shilingi za zamani
Masega
Sasa hivi mmehamia kwenye ndio za chuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanatumiwa kama masharti ya mganga nini?Nasikia ni dili sana.
Tulichanganya kwenye scrapersDah hii ndoo ilikuwaga nyumban tangu mim nipo mdogo, ilipoteaga tu kwa kutatanisha mnamo 2008 na hatukuiona tena mtaa mzima
Umejuaje? Wachimba dhahabu wanaelewa vema kazi yake.Yanatumiwa kama masharti ya mganga nini?
Umenikumbusha mbaliView attachment 1960323
upo dar? nenda gerezani
umesoma boarding 80's au 90's?Umenikumbusha mbali
Msije mkatuambia mikono yake ni madini ya almasi[emoji16]Nasikia ni dili sana.
View attachment 1960323
upo dar? nenda gerezani