Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Una maeneo unayoyapendelea au nyumba iwe mahali popote utachukua tu as long as zinameet vigezo vyako?
Unatafuta "rent" au "rental" ?
Lugha za watu hizi jamani kama vipi Kiswahili kinatosha sana tu.
Una maeneo unayoyapendelea au nyumba iwe mahali popote utachukua tu as long as zinameet vigezo vyako?
Teh teh teh! On the way.......ambassador estate agent???
Nitumie no kwa PM, nitakuunganisha na jamaa yangu anayedeal na mambo hayo.Mkuu Ambassador, ingekuwa poa kama itakua maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Masaki, Mikocheni, Tegeta, Mbezi.