Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Nina wageni wanatarajia kufika mjini Dar mapema mwakani. Nitahitaji nyumba mbili au apartments mbili zenye umeme wa uhakika, AC, at least 2 bedrooms and at least 2 bathrooms, ziwe full furnished. Do not bother to give me your information kama hakuna ulinzi wa uhakika. Weka information hizo hapa, nina uhakika zitawasaidia wengine wengi. Andika na kodi kwa mwezi tafadhali. Nitapanga kwa muda wa miezi miwili.