Natafuta a Business Partner

Natafuta a Business Partner

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk .

"Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million. Pia awe na uzoefu na masuala ya biashara au awe ambaye tayari ashawahi jihusisha na masuala ya biashara.

Mpaka sasa hivi project nishaianza ila uzalishaji ni mdogo kutokana na vitendea kazi vinavyoitajika, vilivyopo vinanifanya nizalishe just 2 tonnes per week ambayo ni uzalishaji mdogo sana kutokana na uhitaji wa soko.

Asanteni Sana.
 
Wanakuja ma partner wenye nia na uwezo.
 
wewe utawekeza kiasi gani?
 
Ongeza information, ww umewekeza kiasi gani, partner anapata nini? Unae deshaje biashara kama kampuni au?
Pengine unachohitaji ni mkopo kwanini usijaribu bank kama biashara ipo tayari
 
Upo sahihi mkuu lakini mkopo si kwa biasharaambayo haijawa well matured hususa kwa kipindi hiki cha mpito ambacho sera za serikali kwenye uwekezaji na biashara zinabadilika kila siku nahisi nitakuwa nafanya kazi ya kuichumia bank tu.
 
Excellent idea
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk .

"Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million. Pia awe na uzoefu na masuala ya biashara au awe ambaye tayari ashawahi jihusisha na masuala ya biashara.

Mpaka sasa hivi project nishaianza ila uzalishaji ni mdogo kutokana na vitendea kazi vinavyoitajika, vilivyopo vinanifanya nizalishe just 2 tonnes per week ambayo ni uzalishaji mdogo sana kutokana na uhitaji wa soko.

Asanteni Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom