TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk .
"Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million. Pia awe na uzoefu na masuala ya biashara au awe ambaye tayari ashawahi jihusisha na masuala ya biashara.
Mpaka sasa hivi project nishaianza ila uzalishaji ni mdogo kutokana na vitendea kazi vinavyoitajika, vilivyopo vinanifanya nizalishe just 2 tonnes per week ambayo ni uzalishaji mdogo sana kutokana na uhitaji wa soko.
Asanteni Sana.
Upo sahihi mkuu lakini mkopo si kwa biasharaambayo haijawa well matured hususa kwa kipindi hiki cha mpito ambacho sera za serikali kwenye uwekezaji na biashara zinabadilika kila siku nahisi nitakuwa nafanya kazi ya kuichumia bank tu.Ongeza information, ww umewekeza kiasi gani, partner anapata nini? Unae deshaje biashara kama kampuni au?
Pengine unachohitaji ni mkopo kwanini usijaribu bank kama biashara ipo tayari