Habari za jioni. Mimi ni binti mwenye miaka 25,niko single, nina degree moja,mwajiriwa katika sekta binafsi, niko maji ya kunde na slim figure, mkristo(rc), independent. Natafuta a realman awe mkristo, age between 30-38,single, msomi, maji ya kunde, tall,asiwe na kitambi,anayejiweza financialy ,mstaarabu, asiwe possessive wala mtumia ti.go. Ni kwaajili ya kuhave fun no strings attached. Mwenye vigezo hivo anakaribishwa kuPM.

mi ninapita tuu coz natumia tigo.
Me sina kigezo cha elimu tuu hapo ila ni mjasilia mali najiweza upande wa cash....nakamjengo kangu nnje ya mji chanika huko.
Hehehe mbona waonekana una hasira hivo? Relax life is too short dude
Nahitaji mtu mwelewa na aliyepevuka
Nahitaji mtu mwelewa na aliyepevuka
Hapo kwenye no strings attached tu, ndo wanaume wanapopapenda,, ngoja nimtafute Mazabzab
Hehehe guyz take a chill pill....najiweza financialy too, sihitaji pesa ya mtu, am just looking 4some one to have fun with, thats all