nikiwe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 775
- 345
Habari za jioni. Mimi ni binti mwenye miaka 25,niko single, nina degree moja,mwajiriwa katika sekta binafsi, niko maji ya kunde na slim figure, mkristo(rc), independent. Natafuta a realman awe mkristo, age between 30-38,single, msomi, maji ya kunde, tall,asiwe na kitambi,anayejiweza financialy ,mstaarabu, asiwe possessive wala mtumia ti.go. Ni kwaajili ya kuhave fun no strings attached. Mwenye vigezo hivo anakaribishwa kuPM.