habar wana jamvi najitokeza kutafuta instagram account ya kununua yenye kuanzia followers 50,000 elfu hamsini mahususi kwa ajili ya kuanzishia biashara, yoyote mwenye nayo au kumfamhamu mtu anaeuza tuwasiliane kwa no 0738299299 au [email protected]
HiWrite your reply...Aiseee
NAIPATAJE MKUU?Ipo ya 15k ukihitaji
Mimi yangu ni ya follower wakibongo hakuna hayo mambo kama ukitaji utakuja tunauziana mkono kwa mkono nakupa detail unachange huku unatoa hela zako.karibu mkuu.NAIPATAJE MKUU?
TATIZO HII BIASHARA WENGI NI MAJIZI